Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

MUKI KAFUNGUKA: “Siwezi kufanya kazi na Fredy nilimbeba Makomando”

on

Msanii Muki Komando ambaye zamani alikuwa akiunda kundi la Makomando, kundi lililokuwa likiundwa na wasanii wawili ambao ni yeye mwenyewe pamoja na Fredy amezungumza sababu iliyosababisha kundi hilo kuvunjika huku akisema kuwa aliyeanza kujitoa alikuwa ni Fredy mwenyewe.

Muki amesema kwamba moja sababu hiyo ni mzozo uliokuwa kati yake na mwenzake Fredy ambao ulisababishwa na utapeli wa gari lao walilopanga kununua kwa pamoja baada ya kuchanga hela,  kitu kilichomfanya Fredy kuamini kuwa Muki anahusika kwenye utapeli huo.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama MUKI KOMANDO akizungumzia hilo

Steve Nyerere “Maisha yamekuwa Magumu lini kwako yamekuwa mepesi”

PERFECT CARWASH: Mtangazaji Perfect kazungumzia itavyotoa huduma

Soma na hizi

Tupia Comments