Premier Bet

Top Stories

M/kiti alivyochukuliwa na Polisi mbele ya Wananchi baada ya Makonda kuagiza

on

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda anaendelea na ziara yake ya kutembelea kona mbalimbali za jiji la Dar es salaam ambapo leo ameingia Ilala.

Moja ya matukio ya leo ni hii ya Mkuu huyu wa mkoa kuagiza Mwenyekiti wa mtaa wa Gongo la Mboto kushikiliwa na Polisi mpaka uchunguzi utakapokamilika na hiyo ni kutokana na tuhuma za udanganyifu, tazama hii video fupi hapa chini


VIDEO: Ulikosa alichosema Paul Makonda kuhusu Watu waliolalamika kisa kasema ofisini kwake anajivunia watu wanne tu? ‘wenye akili ndogo ndio walilalamika ila…….‘ bonyeza play hapa chini kupata ufafanuzi wake

Soma na hizi

Tupia Comments