Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Madada 6 wa Mkubwa Fella wametuletea hii “matobo”

on

Karibu Tanzania, karibu kwenye fleva ya Bongo….. tunao Warembo 6 wanaojiita Wadada sita ambao wako chini ya mwamvuli wa Meneja maarufu Mkubwa Fella ambaye amekua akiwasimamia wengine pia kama TMK Wanaume Family na Yamoto BAND.

Ukishaitazama hii video mpya tafadhali usiache kutoa comment yako ili wakipita wajue watu wao wameipokeaje

ULIPITWA? Ben Pol na Madee walichoongea baada ya kuiona Post ya Babu Tale Instagram, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement