Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Chalii ya Chuga Beneficial kafunguka “Ni huyo mimi”

on

Weekend hii AyoTV na millardayo.com zilifanya mahojiano na chalii ya chuga Beneficial ambaye amaefunguka sehemu ya mafanikio yake aliyoyapata kupitia style yake ya kichuga ambayo imemfanya kuwa maarufu na kupata mashavu kibao kwa mwaka huu.

Mtazame Beneficial akizungumza hapa chini kwa kubonyeza PLAY.

VIDEO: AY KASIMULIA ALIVYOONA MKE WAKE AKIJIFUNGUA, KWA NINI HAMPOST..?

Soma na hizi

Tupia Comments