PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Michezo

Liverpool imefia Etihad, Salah akigusa mpira mara 32 tu !!!

on

Moja kati game kubwa iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu katika kila kona ya dunia kwa mashabiki wa soka wanaofuatilia Ligi Kuu England ni game ya Man City dhidi ya Liverpool iliyochewa January 3 2019 katika uwa wa Etihad katiji la Manchester.

Liverpool wakiwa ugenini wamejikuta wakifungwa kwa mara ya kwanza msimu toka umeanza kwa goli 2-1, hivyo wameondoa ile recidi yake ya kuwa timu pekee iliyokuwa haijapoteza mchezo EPL, magoli ya Man City yamefungwa na Sergio Aguero dakika ya 2 na Leroy Sane dakika ya 72 wakati goli pekee la Liverpool lilifungwa na Roberto Firmino dakika ya 64.

Hata hivyo mshambuliaji hatari wa Liverpool Mohamed Salah alidhibitiwa vikali na kwa muda wote wa mchezo aligusa mpira mara 32 pekee, hata hivyo matokeo hayo yameifanya Liverpool kuendelea kuongea kwa kuwa na point 54 na Man City, hivyo sasa wanakuwa wamerudisha matumaini ya Ubingwa.

Kocha wa Simba baada ya kuwasili Zanzibar”Sio njia bora ya kuandaa timu”

Soma na hizi

Tupia Comments