Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Ni kweli Tanzania kuna ugaidi? serikali imeongea bungeni leo

on

Moja ya swali lililosikika bungeni Dodoma leo February 6 2017 ni kutoka kwa mbunge wa Konde Khatib Haji aliyehoji kwanini Tanzania inao Watuhumiwa wa ugaidi ikiwa nchi haina ugaidi?

Majibu yakatolewa na mawaziri wawili Hamad Masauni pamoja na Waziri wa katiba na sheria Dr. Harrison Mwakyembe, tazama kwenye hii video hapa chini….

BUNGENI: Mbowe vs Waziri Mhagama kuhusu ahadi za serikali, bonyeza play hapa chini kutazama

Tupia Comments

Advertisement