Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Kama uliyakosa Magoli ya Watford vs Man United

on

Baada ya Man United kupoteza mchezo wa Europa League Septemba 15 dhidi ya Feyenoord, Septemba 18 2016 walishuka tena dimbani kucheza mchezo wao wa Ligi Kuu ugenini dhidi ya Watford na kukubali kipigo cha goli 3-1.

Katika mchezo huo ambao Man United walipoteza unakuwa ni mchezo wao wa tatu mfululizo kwa wao kupoteza baada ya kukubali kipigo cha goli 2-1 weekend iliyopita dhidi ya Man City katika uwanja wao wa Old Trafford na baadae wakafuatiwa kufungwa goli 1-0 na Feyenoord ya Uholanzi katika mchezo wao wa kwanza wa Kundi A Europa League.

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement