Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Sahau kuhusu kuachana, Vanessa Mdee kamwita Jux Jukwaani

on

Leo August 25, 2017 XXL ya Clouds FM ilihamia Morogoro ambapo ilikuwa LIVE kulitambulisha Jiwe la mwezi ambapo staa aliyesimama alikuwa Vanessa Mdee.

Moja kati ya mambo yalivuta hisia za mashabiki wa Bongofleva katika show hiyo ni pale Vanessa alipoombwa kumtaja msanii ambaye atasajiliwa katika msimu mpya wa Fiesta 2017 na hakumtaja mwingine bali ni Jux.

Kama utakumbuka wawili hao walikuwa mapenzini kwa muda mrefu lakini mwaka huu Vanessa aliweka wazi kuwa wawili hao kwa sasa si wapenzi tena naye yuko single lakini kitendo cha Jux kupanda jukwaa moja na Vanessa hakikutegemewa.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI..

ULLIPITWA? Maneno ya Harmonize baada ya Wolper kufunguka 

Soma na hizi

Tupia Comments