Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Kamanda Mambosasa aita tena Waandishi, ang’aka habari ya kukamatwa Wavaa vimini na Viduku (+video)

on

Magazeti ya Tanzania leo January 17 2017 yameamka na yaliyosemwa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Lazaro Mambosasa kwenye mkutano na Waandishi jana January 16 lakini kuna moja lililofanya Kamanda Mambosasa kuita tena Waandishi.

Ni baada ya alichosema jana kuripotiwa tofauti kwenye Gazeti la NIPASHE lililoandika “Polisi yakamata wavaa vimini, kunyoa viduku… pia wamo wa milegezo, Suruali za bana

Kwenye hii video hapa chini Kamanda Mambosasa anaonekana akieleza yote ya leo, bonyeza play kumtazama

VIDEO: Millard Ayo na Washindi wa MILIONI 10 za TATU MZUKA

Soma na hizi

Tupia Comments