Tangaza Hapa Ad

AyoTV

FULL VIDEO: Ripoti ya MCT kuhusu Uchunguzi wa uvamizi wa Clouds Media Group

on

Baraza la Habari Tanzania ‘MCT’ leo August 14, 2017 limetoa ripoti kuhusu hali na mwenendo wa tasnia ya habari Tanzania ambapo mbali na ripoti ya jumla pia ilitoa ripoti ya uchunguzi wa uvamizi wa Clouds Media Group uliofanywa na RC wa Dar es Salaam March 17, 2017.

Tazama kila kitu kwenye video hii hapa chini!!!

Soma na hizi

Advertisement