Habari za Mastaa

Mdogo wa Alikiba kaongea ujauzito wa wifi yake Amina na mke wa Abdukiba kumkimbia mumewe

on

Mdogo wa msanii Alikiba na Abdukiba ambaye anafahamika kwa jina la Zabibu Kiba kaongea kuhusu ujauzito wa mke wa kaka yake Alikiba na kujibu tetesi zilizowahi kusambaa mtandaoni zikidai kuwa Abdukiba kakimbiwa na mke wake aliyefunga naye ndoa mwaka huu.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Zabibu akizungumza.

EXCLUSIVE: Mimi Mars akiri kuingia kwenye maigizo “Sijafika level za Idris”

Soma na hizi

Tupia Comments