Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 11: Mastaa walivyojitokeza kwenye Album Listening Party ya Vanessa

on

Usiku wa tarehe 29, 2017 ilikuwa ni party ya Vanessa Mdee ya Listening Album yake mpya inayoitwa Money Monday ambayo mgeni rasmi kwenye Party hiyo ni staa mwenye asili ya Kongo, Mohombi ambaye ameshirikishwa kwenye wimbo wa ‘Kwangu njoo” wa Vanessa Mdee uliopo kwenye Ablum yake mpya ya Money Mondays..

Katika usiku huo wapo mastaa mbalimbali waliohudhuria kama Lulu Diva, Mimi Mars, Juma Jux, Idriss Slutan, Heriety Paul, Flavian Matata, Weusi, OMG na wengine wengi ambao baadhi ya mastaa hao millardayo.com imezinasa picha zao, unaweza kuzitazama kwa kushuka chini..

VIDEO: Vanessa na Mohombi katika uzinduzi Rasmi wa Album mpya Money Mondays

Soma na hizi

Tupia Comments