Airtel TZ - Ad
Ads Separator
Startimes Ad
Home » 2013 » July » 04

Daily Archives: July 4, 2013


Msikilize hapa Mbwiga wa Alhamis July 4 2013

Yule jamaa ambae huwa ni mcheshi siku zote anazosikika kwenye Sports Extra ya Clouds FM Mbwiga, nakukutanisha nae hapa
Read More »

Top10 ya Amplifaya July 4 2013

Ni time ya kufahamu kwa ufupi stori zilizofanikiwa kumiliki namba 10 za Amplifaya alhamis hii… kwenye countdown ambayo husikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa saa moja usiku mpaka saa tatu on @CloudsFM
Read More »

Chelsea wamemsajili huyu nyota wa Uholanzi aisee

Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano rasmi ya kumsajili nyota wa timu ya taifa ya Uholanzi kwa vijana wenye umri chini ya miaka 21 Marco Van Ginkel toka klabu ya Vittesse Arnherm . Nyota huyo atathibitishwa kuwa mchezaji wa Chelsea ndani...
Read More »

Kuhusu usajili wa Gonzalo Higuain kwenda Arsenal

Usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina kuelekea klabu ya washika Bunduki wa Huko London kwenye uwanja wa Emirates Arsenal utakamilika hivi karibuni kwa mujibu wa baba yake mzazi pamoja na kaka yake ambaye pia ni wakala wa mchezaji huyo...
Read More »

Ebwana Brazil wamepanda kwenye viwango vya soka Duniani, Tanzania je?

Ushindi ilioupata timu ya taifa ya Brazil kwenye michuano ya kombe la mabara mwishoni mwa wiki iliyopita umeisaidia timu hiyo kupanda zaidi ya nafasi kumi kwenye viwango vya ubora vya soka vya FIFA. Brazil ilianza michuano hiyo ikiwa inashika nafasi...
Read More »

Ryan Giggs si amepewa cheo kipya Manchester United leo aisee.. ni cheo gani?

Kiungo/winga wa muda mrefu wa klabu ya Manchester United Ryan Giggs ameteuliwa kuwa kocha mchezaji ndani ya klabu hiyo ambapo atakuwa akisaidiana na kocha David Moyes pamoja na makocha wengine wasaidizi . Mchezaji huyo ambaye amekuwa na United kwa misimu...
Read More »

Real Madrid imekata tamaa ya kumsajili huyu staa.

Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania imekata tamaa ya kumsajili winga wa kimataifa wa Wales na timu ya Tottenham baada ya klabu hiyo ya London kukataa kumuuza mchezaji huyo ambapo kwa mujibu wa taarifa rasmi toka jijini Madrid, Real...
Read More »

Picha ya Obama aliyopost Rais Kikwete facebook leo kwenye album ya ‘The Historic visit’

President wa Marekani Barack Obama ameshaondoka Tanzania toka juzi lakini bado headlines zake ni kumbukumbu kwa Watanzania wengi mpaka sasa, sio kwa Wananchi wa kawaida peke yake lakini hata kwa President JK mwenyewe ambae leo ameipost hii picha kwenye facebook...
Read More »

Picha 11 za jinsi huyu anaetuhumiwa kuwa tapeli anaetumia jina la Jokate Mwegelo alivyokamatwa

Aliefanikisha huyu jamaa kukamatwa ni mrembo mmoja model Blessing ambae alishiriki Miss Morogoro 2013 ambapo namkariri akisema “wiki mbili zilizopita nilipata msg kwamba Kidoti hair na Mzinga Planet wanahitaji mamodo kwa ajili ya kutengeneza matangazo kwa ajili ya nywele za...
Read More »
Scroll To Top