Airtel TZ - Ad
Ads Separator
Clouds - Tunakufungulia Dunia
Ads Separator
Startimes Ad
Home » 2013 » July » 05

Daily Archives: July 5, 2013


Habari 10 za Amplifaya July 5 2013 ziko hapa

Amplifaya ni show maalum kwa ajili ya Countdown ya habari… inasikika @CloudsFM kila jumatatu mpaka Ijumaa saa moja usiku mpaka saa 3 with Mr Countdown Millard Ayo, karibu uzifahamu stori 10 za Ijumaa July 5 2013.
Read More »

Kuwa wa kwanza kuona kionjo cha reality show ya Wema Sepetu.

Wema Sepetu alitangaza kwamba anaandaa reality show yake chini ya kampuni anayoimiliki “Endless Fame”. Muda umefika wa kuanza kuonyesha hiyo show yenyewe na Wema ameshatoa teaser au kionjo cha reality show hiyo ambayo inaonyesha baadhi ya vitu vinavyohusika kwenye show...
Read More »

Msiba wa makeup Artist maarufu Nigeria

Makeup artist maarufu wa Nigeria Adenike maarufu kama ‘Ewar’ ambae alifanya hiyo kazi kwa miaka tisa, amefariki muda mfupi tu baada ya kujifungua mtoto wa kike Sagamu Nigeria. Waliokaribu na familia yake wamesema matatizo yaliambatana na blood pressure pamoja na...
Read More »

Alichoandika T.I.D baada ya kufahamu kwamba rapper Mtanzania Wakazi ndio anafanya show BBA weekend hii

Baada ya Millard Ayo kuweka kwenye twitter na facebook stori 10 za Amplifaya kama kawaida baada ya show, staa wa bongofleva T.I.D aliamua kujibu moja kati ya habari 10 za July 5 2013 zilizowekwa twitter. Rapper Wakazi ni mmoja kati...
Read More »

Interview ya T.I.D kuhusu kutumia dawa za kulevya, kukonda kwake na mengine

Baadhi ya maswali aliyojibu T.I.D kutoka kwa Mtangazaji Sporah wa @Sporahshow ni pamoja na…. ni kweli kwamba unatumia dawa za kulevya? Watu wanalalamika kwamba umekonda? vp?
Read More »

Borrusia Dortmund yamsajili mbadala wa Robert Lewandowski.

Klabu ya Ujerumani Borrusia Dortmund imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Gabon Pierre Emerick Aubameyang toka klabu ya Ufaransa ya St Ettienne. Aubameyang mwenye umri wa miaka 24 amesaini mkataba wa miaka mitano ndani ya Dortmund na ujio wake...
Read More »

Ulimis alichoandika Ray C kwa mashabiki wake? umemis video zake za zamani?

Hii ni kupitia page yake ya Instagram ambapo staa huyu wa longtime kitambo Tanzania Rehema Chalamila (Ray C) inaonekana amemis kufanya muziki, ni long time kidogo toka apate matatizo kwenye afya yake yaliyosababisha kusimama kufanya muziki japo aliwahi kuongea na...
Read More »

Nimeshawishika kushea hii na wewe kutoka Fastjet mtu wangu

Nimeshuhudia mtu wangu wa nguvu, ukifika kwenye viwanja vya sabasaba kwenye makao ya FastJet kuna mengi ambayo nauhakika utaenjoy nayo kama mimi.. pamoja na kwamba tumezoea kusafiri kwa huduma nzuri lakini tunachangia kidogo kwenye nauli za FastJet, hapa sabasaba tunakutanishwa...
Read More »

Alichoandika Mike Tee kuhusu majina ya watoto machotara watakaozaliwa wa kichina na Tanzania kutokana na ongezeko la Wachina Dar

Msanii Mike Tee wa long time bongoflevani,  siku zote amekua ni mtu mcheshi hata ukikutana nae…. sasa ukija kwenye page yake ya facebook ndio noma kabisa…. hiki kituko nilikutana nacho kwenye hiyo hiyo page yake
Read More »

NMB asanteni watu wetu, mnawarahisishia mpaka wakulima?

NMB kwa kupitia idara yake ya biashara za Kilimo (Agribusiness Department) imetoa ripoti mbili; 1.Utafiti wa kujua kama mfumo wa stakabadhi mazao ghalani (Warehouse Receipt Financing Sytem) una manufaa kwa wakulima au la? Utafiti umethibitisha kuwa mfumo una manufaa kwa...
Read More »

Ulikua unayajua haya mambo matano ya taarifa za utafiti?

1. Kama taarifa zote zilizoko kwenye mtandao wa wikipedia zingeandikwa kwenye kitabu, hiko kitabu kingekuwa na kurasa milioni mbili nukta tano na ingemchukua mtu wa kawaida hadi miaka 123 kumaliza kukisoma mwanzo hadi mwisho. 2.Magereza nchini Brazil yana utaratibu wa...
Read More »

Kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti July 5 2013.

Scroll To Top