Airtel TZ - Ad
Ads Separator
Startimes Ad
Home » 2013 » July » 13

Daily Archives: July 13, 2013


Picha zaidi ya 20 za nje na ndani ya Uwanja wa Taifa zikiwemo za yule alietembea kwa mguu kutoka Mbeya pamoja na Hasheem Thabeet.

Mechi ilimalizika na matokeo ni Taifa stars 0 – 1 Uganda ikiwa ni mechi iliyotambaa na mambo mengi ndani na nje ya uwanja, miliki time yako kusoma na kuona picha jinsi mambo yalivyoenda kuanzia Kinondoni, tukipitia Posta na kushuka nje...
Read More »

Video ya goli walilofungwa Taifa Stars July 13 2013 Uwanja wa taifa

Hatimae uthibitisho wa video ya Jay Z kukutana na Prezzo umepatikana, iko hapa aiseee

Sehemu ya stori kubwa za AMPLIFAYA ya @CloudsFM mwaka 2012 ilikamilishwa pia na ripoti za staa wa Kenya CMB Prezzo kukutana na Jay Z, baada ya ushindi kwenye nafasi ya pili kwenye jumba la Big Brother Africa 2012, Prezzo alipata...
Read More »

Najua wengi walitamani sana kuiona hii familia ya former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe

Klyinn yukwapi? tunasikia kaolewa ila hatuna uhakika, muda ulipopita…. tunasikia kapata Watoto mapacha? …………….hayo ni baadhi ya maswali ya Watanzania waliokua wanazipenda na kuzifatilia kazi za mwimbaji ambae ni former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe. millardayo.com imemmilikisha rasmi Klyn kwenye hii...
Read More »

Alietembea kwa mguu kutoka Mbeya mpaka Dar ameshafika tayari, picha ziko hapa

Tweet ya mwisho ya Prezzo kuhusu Diamond Platnums

Kama umekua karibu na vichwa vya habari kwa wiki hii kuna uwezekano mkubwa ukawa umekutana na habari mbalimbali zilizoandikwa kuhusu kutoelewana kati ya Diamond Platnums na Prezzo wa Kenya ambapo inadaiwa hii ishu ilianzia magazetini kuliko mkariri Diamond Platnums kusema...
Read More »

Good news kwa watu wangu wa Simba kuhusu usajili wa huyu

Simba sports Club ya Dar es Salaam imefanikiwa kumsajili mfungaji bora wa michuano ya Kagame Cup 2013 Hamis Tambwe kutokea Vital O ya Burundi kwa kumpa mkataba wa miaka miwili July 12 2013 kuanza kuwatumikia wekundu hao wa Msimbazi kwa...
Read More »

Hizi ndio stori kubwa Magazetini leo July 13 2013

Scroll To Top