Airtel TZ - Ad
Ads Separator
Clouds - Tunakufungulia Dunia
Ads Separator
Startimes Ad
Home » 2013 » July » 14

Daily Archives: July 14, 2013


Cheka kidogo hapa mtu wangu wa nguvu uondoe uchovu na upate start up ya jumatatu.

Haya watu wangu wa  nguvu ni wiki nyingine tena lazima mambo yaende kama yanavyotakiwa kwenda japokuwa ni wazi kwamba Jumatatu ni siku ngumu sana kuanza kazi kwa watu wengi…. chukua muda wako kusoma hii collection ya vichekesho ili upate start...
Read More »

Kuwa wa kwanza kuangalia video mpya ya Shetta ft Rich Mavoko ”Sina imani”

Baada ya kuona picha zaidi ya 20 jinsi video ya Shetta ft Rich mavoko ”Sina Imani”, sasa chukua nafasi yako kuangalia
Read More »

Breaking News!!!Bayern Munich waipiga bao Manchester United.

Mabingwa wa ulaya na Ujerumani Bayern Munich wameipiga bao la kisigino klabu ya Manchester United baada ya kuthibitisha kumsajili kiungo wa zamani wa Barcelona Thiago Alcantarra ambaye United walikuwa wanamsaka kwa udi na uvumba  . Bayern wamethibititsha taarifa hiyo kupitia...
Read More »

David Moyes aambiwa kuwa fedha si shida United.

Wakati David Moyes alipoambiwa kuwa ameteuliwa rasmi kuwa kocha wa Manchester United baada ya Sir Alex Fergusson alikuwa na uhakika kuwa maisha yake kama kocha yatabadilika kwa kiasi fulani . Moja ya mazingira magumu aliyokuwa akikutana nayo akiwa Everton ni...
Read More »

Ujumbe wa Akon kwa kila Muamerika mweusi anaeishi Marekani

Habari za Aljazeera ikiwemo ya Wanajeshi Watanzania kuuwawa Sudan

VIchwa vya habari BBC

Sehemu ya game ya Taifa Stars vs Uganda July 13 2013

Hizi ndio habari kubwa za Magazeti J’pili July 14

Scroll To Top