Airtel TZ - Ad
Ads Separator
Startimes Ad
Home » 2013 » July » 15

Daily Archives: July 15, 2013


Habari zote 10 za Amplifaya July 15 2013 ziko hapa

Hii Countdown siku zote inasimamiwa na CRDB Bank, Vodacom na @FastJet
Read More »

Msikilize hapa Mbwiga wa Sports Extra Clouds FM July 15 2013

Status ya Chidi Benz kuhusu dawa za kulevya.

Hii ni status ya July 15 2013 kwenye facebook ya Rapper Chidi Benz ambae mwaka 2011 kupitia millardayo.com alitangaza kuachana na uvutaji wa bangi ambao alikiri ulimfanya afanye mambo mengi yasiyo mazuri na hata kutoa picha mbaya kwa watu mbalimbali...
Read More »

Hawa ndiyo models watatu pekee kutoka Tanzania waliopata dili la kufanya kampeni ya Adidas

Adidas ni brand kubwa kwenye michezo duniani lakini inafanya vizuri hadi kwenye maisha ya kawaida ambapo watu huvaa nguo za Adidas kama nguo nyingine ambapo kwenye mall ya Mlimani city kwenye duka la bidhaa za Adidas wiki moja iliyopita kulifanyika photoshoot...
Read More »

Picha zaidi ya 20: Shilole na Masanja wakiwa kwenye ziara nchini Marekani kwenye majiji ya New York na Washington

Kwenye Amplifaya ya Clouds FM July 15 2013 alisikika mwimbaji Shilole kuhusu mambo mengi aliyoyafanya akiwa nchini Marekani ikiwa ni pamoja na mipango yake kufanikisha collabo zake…. huku tayari akizungumza mwenyewe kwamba alimpatia meneja wa Jennifer Lopez cd zake na...
Read More »

Barcelona kumpoteza nyota wake mwingine?

Zikiwa zimepita saa karibu 24 tangu ilipotangazwa kuwa Bayern Munich wamekamilisha usajili wa Thiago Alcantarra , Barcelona huenda wakalazimika kupoteza mchezaji mwingine wa safu ya kiungo baada ya  klabu ya Manchester United kutuma ofa ya kumsajili kiungo Cesc fabregas ....
Read More »

Magazeti ya leo Jumatatu July 15 2013 na stori zake kubwa za Udaku, Michezo na Hardnews

Scroll To Top