Airtel TZ - Ad
Ads Separator
Clouds - Tunakufungulia Dunia
Ads Separator
Startimes Ad
Home » 2013 » July » 16

Daily Archives: July 16, 2013


Jinsi Kijana mbunifu alivyofanya uvumbuzi mkubwa wa kisanyansi nyumbani kwao Kenya

  Kijana mmoja huko Kenya ambaye ametumia utundu wake tu na vitu vidogovidogo amefanikiwa kutengeneza mfumo wa kiusalama nyumbani kwao na kuyafanya mazingira kuwa salama zaidi ya zamani, anaitwa Daniel Njuguna ambapo ametengeneza mfumo ambao kama ukifungua tu geiti lao...
Read More »

Watu 7 wapoteza maisha huku ghasia zikiendelea

Polisi wakitumia maji ya kuwasha na mabomu ya machozi kwa ajili ya kuwasambaza wananchi ambao walikuwa wanafanya maandamano kulaani kitendo cha jeshi la nchi ya
Read More »

Pichaz za mwigizaji Lulu akikabidhiwa tuzo yake ya ZIFF

Kama unakumbuka hapahapa kwenye millardayo.com tulikupa habari ya actress Elizabeth Michael kushinda tuzo ya ZIFF kama muigizaji bora wa kike kwenye filamu za kiswahili kupitia movie ya Woman of Principle ambapo siku ya tukio Lulu hakuwepo ila makabidhiano ya tuzo...
Read More »

Baada ya Jay Z na P.Diddy kufanya vizuri..rapper mwingine mkubwa aingia kwenye dunia ya fashion na brand ya nguo zake

Kama ulikua hujui mtu wangu wa nguvu chukua hii, lebo ya nguo Sean John ambayo inamilikiwa na P.Diddy inachangia kiasi kikubwa sana cha utajiri wa jamaa huyu ambaye kwa sasa amehamia kwenye Tv channel akiwa na channel yake inayoitwa Revolt....
Read More »

Video na Pichaz za hii Pub aliyoifungua Dudubaya Kinondoni Dar es salaam

Anaitwa Godfrey Tumaini au Dudubaya ambaye alitamba sana na kazi zake kadhaa akiwa na kundi lake la Dar Skendo likijumuisha watu kama Dogo Hamidu “Nyandu Tozi” na wengine. Muda mrefu Dudu Baya alikuwa anafanya shughuli zake Mwanza na hivi karibuni...
Read More »

Breaking News!!!! PSG yazipiga bao Chelsea na Man City.

Mabingwa wa Ufaransa klabu ya Paris St Germain imethibitisha kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Uuruguay Edinson Cavanni toka klabu ya Napoli . Striker huyo ameigharimu PSG jumla ya Euro Milioni 63 ambapo amedondoka wino kusaini mkataba wa miaka...
Read More »

Umeiona video ya yule jamaa anaefanana na Obama akiongea kuhusu ziara ya Tanzania?

Ukishaiona hii video hapa chini hebu nipe maoni yako mtu wangu…. amempatia Obama au hajampatia?
Read More »

Isikilize hapa Hekaheka ya leo July 16 2013

Picha za yule Staa wa Barcelona alieoa zimeshatoka tayari, ziko hapa.. chek pia Messi, Fabregas na wengine walivyotokelezea na wake zao yani

Jumapili July 14 2013 ilikuwa siku ya furaha kwa staa wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania Xavi Hernandez ambapo alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Nuria Cunnillera, ni harusi iliyofanyika huko Catalunya kanisani kabla ya hafla...
Read More »

Hawa ndio Watanzania wawili walioingia kwenye hii list ya Mamilionea 10 wa kutazamwa Afrika 2013

Ninao uhakika kwamba hii ni ripoti nyingine ya kutoa nguvu kwa vijana ambao wamekata tamaa au bado hawaamini katika kile wanachoweza kukifanya kwa nguvu zao na akili zao, vijana ambao bado fikra zao ziko kwenye imani kwamba Matajiri wote wa...
Read More »

Sikiliza Magazeti ya July 16 2013 yakisomwa Clouds FM PB

Magazeti ya leo July 16 Udaku, Michezo na Hardnews

Scroll To Top