Airtel TZ - Ad
Ads Separator
Clouds - Tunakufungulia Dunia
Ads Separator
Startimes Ad
Home » 2013 » July » 17

Daily Archives: July 17, 2013


Picha za M2theP akiwa kwenye XXL ya CloudsFM, isikilize pia single yake mpya

Kwa mara ya kwanza toka kitokee kifo cha rapper Albert Mangweha (Ngwair) rafiki yake wa karibu ambae ni M2TheP waliekua pamoja Afrika Kusini mpaka umauti umemkuta Ngwair, amefanya interview kwa mara ya kwanza kwenye radio kupitia XXL ya @CloudsFM na...
Read More »

Paundi Milioni 40 zitatosha kumng’oa huyu jamaa Liverpool.

Wakala Pere Guardiola ambaye ni mdogo wa Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola ameziambia klabu za Real Madrid na Arsenal kuwa ofa ya paundi milioni 40 itatosha kumtoa mshambuliaji huyo Liverpool . Pere Guardiola amesema kuwa ana imani kuwa ofa...
Read More »

Sikiliza 255 ya Clouds FM kupitia XXL Jumatano 17 Julai 2013

Breaking News ,Man United yaiambia Chelsea No!!!!!

Mabingwa wa kombe la UEFA Europa League Chelsea The Blues wamekuwa klabu ya kwanza kuwa na maombi rasmi ya kumsajili mshambuliaji Wayne Rooney ambapo Manchester United imekataa ofa ya paundi milioni kumi pamoja na mchezaji mmojawapo kati ya Juan Matta...
Read More »

Isikilize hapa Hekaheka ya leo Jumatano July 17 2013

Kuwa wa kwanza kujua ratiba ya “Magna Carta World Tour” ya Jay Z

  Mtu wangu wa nguvu najua umesha enjoy kusikiliza album mpya ya Jay Z ambayo imefika Platinum baada ya wiki moja tangu aitoe. Hivi sasa Jay Z ambaye ni baba wa mtoto Blue Ivy, ametoa ratiba ya world tour yake....
Read More »

Tazama hapa pichaz za utengenezaji video mpya ya Shilole New York Marekani na sikiliza pia single yake mpya

Shilole ambaye bado nyimbo yake aliyoipa jina la Paka la Baa bado inafanya vizuri, lakini ametoa ngoma nyingine mpya inaitwa “Nakomaa na jiji”. Nyimbo hii ambayo Shilole  ameifanyia video akiwa Marekani na hivi karibuni video hiyo itatoka. Chukua dakika zako...
Read More »

Sikiliza hapa Magazeti ya July 17 2013 yakisomwa redioni

Stori kubwa magazetini leo July 17 2013 hizi hapa..

Scroll To Top