Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Kwenye zile video za Wanigeria 2014, hii nayo imo..

on

Screen Shot 2014-01-24 at 2.22.04 PMVideo za namna hii ambazo Warembo ndio wanatumika sana kuiuzisha ndio zimekua na maoni mengi tena maoni tofauti huku wengi wakionekana kushtukia mchezo wa kuwatumia warembo kwenye engo za ziada ili mauzo yawe makubwa.

Vipato vya Wasanii kwenye video nzuri vimeongezeka pia kwa sababu huyu ni mmoja pia wa Wasanii wa Nigeria ambao wana account Vevo ambako kuna mapato huwa yanatokana na idadi ya watu waliotazama video.

Video hii ambayo iliyotoka January 8 2014 imetengenezwa na yuleyule mkali alietengeneza video ya Diamond na Davido.

Screen Shot 2014-01-24 at 2.25.59 PM

Tupia Comments

Advertisement