Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Hadi kufikia 2015 hii ndio ilikuwa TOP 10 ya wanasoka wenye kasi

on

Kila mchezaji huwa ana mbinu zake katika soka wakati wa kuhakikisha anaipatia ushindi timu yake, wapo wachezaji ambao ni mahiri kwa kupiga chenga na wapo ambao wenyewe ni wataalam wa mbinu na kuvuruga mipango ya timu pinzani, leo Septemba 20 naomba nikusogezee TOP 10 ya wachezaji wanaotajwa kuwa na kasi zaidi.

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement