Tangaza Hapa Ad

Michezo

List ya washindi wa tuzo za LaLiga msimu wa 2015/2016

on

Usiku wa October 24 2016 waandaaji wa tuzo za LaLiga walitoa tuzo hizo rasmi, tuzo za wacheza na makocha waliofanya vizuri katika msimu wa 2015/2016 ndio zilitolewa huku Luis Suarez wa FC Barcelona akiwa mchezaji wa kwanza kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia, tuzo ambayo imetolewa kwa mara ya kwanza.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement