Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli ya mechi ya Polisi Dodoma vs Simba SC Sept 3 2016, Full Time 0-2

on

Ligi Kuu soka Tanzania bara imesimama kwa baadhi ya michezo kuahirishwa, Simba ambao ni moja kati ya vilabu vilivyoahairishiwa michezo kutokana na kutoa wachezaji wake katika timu za taifa, imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Polisi Dodoma katika uwanja wa Jamhuri Dodoma na kuibuka ushindi wa goli 2-0, magoli yakifungwa na Abdi Banda na Said Ndemla.

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement