Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 10 : Serengeti Boys walivyowasili Dar es Salaam kinyonge

on

Timu ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys iliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere usiku wa October 4 2016 ikitokea Congo Brazzaville ilipokwenda kucheza mchezo wake wa maruadiano.

img-20161005-wa0006

Serengeti Boys waliwasili Dar es Salaam wakitokea Congo Brazzaville baada ya kucheza mchezo wao wa marudiano wa kuwania kufuzu kwa mataifa ya Afrika kwa wenye umri chini ya miaka 17 ambayo yatafanyika 2017 Madagascar, baada ya kufungwa goli 1-0.

img-20161005-wa0004

Vijana hao ambao wametolewa kwa kufungwa magoli mengi nyumbani walienda Congo wakiwa na ushindi wa goli  3-2, hivyo kufungwa goli 1-0 kunawafanya watolewe kwa kigezo cha kuruhusu kufungwa magoli mengi nyumbani licha ya kuwa aggregate inasomeka 3-3.

img-20161005-wa0018

img-20161005-wa0017

img-20161005-wa0015

img-20161005-wa0016

img-20161005-wa0013

img-20161005-wa0010

img-20161005-wa0012

img-20161005-wa0007

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement