Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA: Yanga yakamilisha mzunguko wa kwanza kwa ushindi

on

Mzunguuko wa kwanza wa Ligi Kuu soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017 umekamilika kwa klabu ya Dar es Salaam Young Africans kucheza mchezo wao wa 15 wa Ligi Kuu dhidi ya Ruvu Shooting katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

dsc_0085

Yanga ambao walikuwa nafasi ya pili nyuma ya Simba kwa tofauti ya point tano wamefanikiwa kupunguza tofauti ya point tatu kufuatia ushindi wa goli 2-1 walioupata dhidi ya Ruvu Shooting.

dsc_0052

Ruvu Shooting ndio walikuwa wa kwanza kupata goli dakika ya 7 kupitia kwa Abrahman Musa, Simon Msuva ndio aliisawazishia Yanga goli dakika ya 31 ila nahodha wao Haruna Niyonzima akapachika goli la ushindi dakika ya 56.

dsc_0149

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement