Tangaza Hapa Ad

TBT

TBT: Picha za utoto za Marcelo, Rodriguez, Lampard, Benzema na Chicharito

on

Moja kati ya vitu ambavyo inawezekana mtu wangu ukawa unavikosa kutoka kwa mastaa wako wa soka ni picha zao za utoto, mara nyingi umekuwa ukiona picha zao za ukubwani na wakiwa katika mafanikio katika soka.

Leo naomba nikusogezee TBT pichaz za mastaa wa Real Madrid James Rodriguez, Karim Benzema, Marcelo na staa wa zamani wa Man United ambaye anaichezea Bayern Leverkusen Javier Hernandez Chicharito, mkongwe wa zamani wa Chelsea Frank Lampard.

1436132288_extras_noticia_foton_7_0

Marcelo

marcelo

Marcelo enzi zake za utoto

30s62ben-485647

Karim Benzema

karim-benzema

Muonekano wa utoto wa Karim Benzema

javier-hernandez-chicharito-goal-celeb-bayer-bundesliga-leverkusen-borussia_3392496

Javier Hernandez ‘Chicharito’

javier-hernandez

Javier Hernandez ‘Chicharito’ wakati anachipukia katika soka.

james-rodriguez-626142

James Rodriguez

james-rodriguez

Picha ya utoto ya James Rodriguez

147018

Frank Lampard

frank-lampard

Frank Lampard kushoto ni picha yake ya utoto akiwa na ndugu yake.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement