PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Mwalimu amuua Mpenzi wake nae kajiua kisa mapenzi (+video)

on

Watu wawili wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi, Karoli Domisian na Regina Temu wamefariki Mkoani Kagera baada ya mwanaume kumuua mpenzi wake kisha na yeye kujinyonga, kisa usaliti wa mapenzi.

Kamanda wa Polisi mkoani Kagera Revocatus Malimi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kwamba mauaji hayo yamegundulika December 17 saa 11 jioni katika Mtaa huo.

“Ndani ya chumba chake kulikutwa karatasi yenye ujumbe wa maandishi iliyoonekana kuandikwa na mwanaume, kwamba amejinyonga mwenyewe baada ya kumuua mpenzi wake, kutokana na kumsaliti” -Kamanda Malimi

DC MURO “WAKINA MAMA WALIO KARIBU NA VIONGOZI WANAFAIDI FEDHA ZA SERIKALI”

Soma na hizi

Tupia Comments