Swahili Fashion Week
Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Kwenye rekodi za Kenya 2016 na huyu anaevuta gari kwa meno yumo


Sasa hivi tunaweza kuhesabu saa zilizobaki kwa ajili ya kuumaliza mwaka 2016 na sio mbaya kama tukipitiapitia zile rekodi za mwaka 2016 na ndio maana kwenye post hii nakukutanisha na huyu Mkenya.

Ni mwanaume ambaye kwa meno yake na kwa kutumia kamba ameweza kulivuta gari na hata kumbeba binadamu mwenzake kwa kutumia meno hayohayo, tazama kwenye hii video ya K24 hapa chini.

ULIPITWA? Tazama Mchekeshaji wa Kenya Erick Omondi alivyowachekesha Watanzania Mlimani City, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement