Tangaza Hapa Ad

Mix

Walioumizwa kwenye ile ajali ya helicopter Scotland.

on

Screen Shot 2014-01-25 at 7.14.19 AMKampuni iliyokua ikioparate helicopter ya Polisi Scotland ambayo imeanguka kwenye baa moja huko Glasgow na kuua watu kumi, imeanza kufanya malipo kwa waathirika na familia zao huku wakisema ‘The interim payments are intended to cover loss of salary while full compensation is agreed’

Tumezoea bongo matukio ya ajali yakitokea huwa mara nyingi tunaambiwa tusubiri chanzo alafu stori ndio inapotea, sasa sio bongo tu manake hata kwenye hii ajali ya November 29 2013 bado chanzo hakijajulikana.

Screen Shot 2014-01-25 at 7.15.23 AM

Tupia Comments

Advertisement