Tangaza Hapa Ad

Stori Pekee

Huyu mtoto ana miaka miwili tu na ameanza hii akiwa na miezi sita

on

Screen Shot 2014-01-25 at 8.10.31 AMSiku hizi teknolojia imetuwezesha sana kupata matukio mengi ya aina yake na kwa haraka zaidi ambapo watoto pia wamekua sehemu ya tunavyokutana navyo mtandaoni.

Huyu mtoto kutoka Victoria Australia anaitwa Kahlei Stone-Kelly na umri wake ni miaka miwili kwa sasa lakini wanasema ameanza huu mchezo toka akiwa na miezi sita na kwa sasa anaweza kuwa ‘the world’s youngest skateboarder’

>>> Most two-year-olds are just learning how to ride their first tricycle or scooter, but this one is already a skateboarding pro, a 2-year-old boy from Victoria, Australia, is probably the world’s youngest skateboarder. The toddler prodigy has been skateboarding since he was six months old and comes from the family of skate enthusiasts who compete around the country as a team’

Tupia Comments

Advertisement