Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Bibi yake Bushoke pia analala kwa majirani, tetemeko limebomoa nyumba yake

on

September 10 2016 lilitokea tetemeko la ardhi Kagera kanda ya ziwa Tanzania lenye kipimo cha 5.7 na kusababisha vifo vya watu 16 na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa ambapo ndani ya saa 24 baadae (September 11 saa nne usiku) likatokea tena tetemeko jingine dogo ambalo halikua na madhara.

Mwimbaji wa smash hit ya ‘mume bwege’ Bushoke amesema miongoni mwa wakazi wanaolala kwa majirani baada ya nyumba zao kubomolewa na tetemeko hilo ni pamoja Bibi yake

Bibi yangu ambaye ni mke wa Babu yangu Mzee Bushoke huko Ibwera yaani nyumba yake imevunjika lakini yeye ni mzima kabisa kwahiyo familia tupo kwenye mazungumzo kuweza kumtengenezea nyumba akae sehemu salama

Unaweza ukabonyeza play kuitazama video ya Bushoke akizungumza kuhusu Tetemeko limebomoa nyumba yake

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement