Biko Ad
CRDB Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Mix

Manara kuhusu Aslay “ninapokusikiliza naona hujapewa heshma”

on

Msemaji wa club ya Simba Haji Manara ni mshabiki mkubwa wa muziki wa Bongofleva na mara nyingi utakuta akitoa maoni yake mbalimbali akizungumzia muziki wa bongofleva na wasanii wenyewe.

Leo January 12 2018 ameandika na kuonyesha kuwa yeye ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa muimbaji wa Bongofleva Aslay hapewi heshima anayostahili lakini ana uwezo mkubwa na anacho kipaji na ameandika kupitia instagram account yake.

“Sijawahi kuwa na mashaka juu ya uwezo wako,najua nchi inawataja sana wengine,bt nnapokusikiliza naona hujapewa heshma unayostahili…you are a Real Super Duper Starย @aslayisihakaย ??“>>>Manara

Alichokifanya Simon Msuva kwa Wakati Ujao Youth Academy

Soma na hizi

Tupia Comments