Biko


Tangaza Hapa Ad

Michezo

Kwa mara ya pili mfululizo Azam FC wameshindikana Mapinduzi Cup 2018

on

Mabingwa watetezi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi Azam FC Usiku wa January 13 2017 walikuwa Zanzibar katika uwanja wa Amaan kutetea taji lao la Mapinduzi Cup kwa kucheza dhidi ya URA ya Uganda.

Azam FC wakiongozwa na kocha wao Cioba wamefanikiwa kutetea taji hilo, licha ya kuwa mchezo ulikuwa mgumu na dakika 90 kumalizika kwa sare tasa.

Majibu ya kuamua kati ya Azam FC na URA nani atakuwa Bingwa wa Kombe la Mapinduzi 2018, yalijulikana baada ya dakika 120 kumalizika ndio mikwaju ya penati ikaipa Azam FC ushindi kwa penati 4-3, Azam FC sasa wanafanikiwa kutetea taji lao walilotwaa 2017 kwa kuifunga Simba goli 1-0.

Rekodi aliyoiweka Guardiola baada ya kushinda tuzo ya kocha bora wa mwezi

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement