Biko


Tangaza Hapa Ad

Michezo

Watu wanaendelea kujishindia… huyu ni Mtanzania wa 14 kushinda Bajaj ya SportPesa

on

Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bado inaendelea kurudisha fadhila kwa wateja na watanzania kwa ujumla ambao wameipokea vizuri toka ilipoingia nchini katikati ya mwaka 2017.

SportPesa wamefanikiwa kutimiza ahadi yao ya kumpelekea Bajaj kila mshindi atakayeshinda katika mkoa wake, sasa wamefika Bukoba kwa  Wilson Wincheslaus Ngemela ambaye ni mfanyabiashara.

Wilson Winchelaus mwenye umri wa miaka 21 ni mkazi wa Nyamkazi Bukoba na ndio mshindi wa droo ya 14 wa promosheni ya Shinda na SportPesa ailiyofanyika tarehe 8 Novemba.

Mshindi Wilson amepokea pikipiki yake aina ya TVS King deluxe kwa furaha na kuishukuru kampuni ya kubashiri michezo ya SportPesa kwa kuinua maisha yake kupitia promosheni ya Shinda na SportPesa, ambapo sasa amejipatia njia mpya ya kumuingizia kipato.

Taarifa rasmi kutoka Ubelgiji, Samatta atafanyiwa upasuaji

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement