Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 3: Serena uwanjani mumewe akibembeleza mtoto

on

Mchezaji tennis Serena Williams amerudi uwanjani kwa mara ya kwanza toka ajifungue mtoto wake wa kike Alexis Olympia miezi mitano iliyopita.

Serena amerudi uwanjani kucheza michuano ya Fed Cup  Asheville USA lakini amezichukua headlines kufuatia kujitokeza uwanjani hapo mume wake na mtoto wake Alexis Olympia.

Mchezo huo ulihudhuria na kufuatiliwa na watu mbalimbali lakini kitendo cha mume wa Serena anayejulikana kwa jina la Alexis Ohanian alikuwa uwanjani hapo akiwa kambeba mtoto na kumnywesha maziwa wakati Serena akiwa anacheza kimewavutia wengi.

VIDEO:Magoli ya Simba walivyorudi kimataifa leo vs Gendermarie Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments