Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

“Akiwa na mnafiki akili zangu ndio zilivyoamka leo”

on

Leo February 9,2018 bado nakusogezea stori ambayo inatrend kwenye mitandao ya kijamii na hii ni kutoka kwenye fan page ya Zari the boss lady inayotumia jina la Zarithe_ kupost picha ya Zari pamoja na Esma Platnumz.

Kupitia fan page ya Zarithe_ ambayo ni account ya instagram inayoendeshwa na shabiki ilipost picha ya Zari akiwa na wifi yake Esma na kuandika #tbt @zarithebosslady akiwa na mnafki ??? akili zangu ndo zilivyoamka Leo”

Baada ya fan page hiyo kupost picha na kuandika caption Esma ambaye ni dada yake na Diamond Platnumz alioneshwa kukasirishwa na kujibu kwa ku-comment baada ya kupostiwa na kuitwa mnafiki.

“huwa naskia burudani sana mnaponiweka katika pages zenu tena mnafki mbwa kabisa tena mbwa koko”

Story zinazoenea chini kwa chini zinaeleza kuwa Zari na familia ya Diamond akiwemo Esma hawapo sawa toka Esma aonekane akiwa karibu na Wema Sepetu ambaye ni mpenzi wa zamani wa Diamond, hiyo pia ndio inadaiwa kuwa ni sababu ya Zari kutokumpost Esma wakati wa birthday yake na kumtakia kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa.

Dogo Janja anaitwa Baba Krish?

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments