Biko


Tangaza Hapa Ad

Burudani

PICHA 2: Hapa ndio zinafanyika tuzo za AFRIMMA 2017

on

Tuzo za African Music Magazine Awards(AFRIMMA) zinafanyika usiku October 8 2017 nchini Marekani katika mji wa Texas Dallas, baadhi ya wasanii kutokea bara la Afrika wamechaguliwa kuwania tuzo hizo katika vipengele tofauti tofauti.

Baadhi ya wasanii waliochaguliwa ni Davido, Wizkid, Mr Eazi, Tekno kutokea nchini Nigeria ambao wanawania tuzo ya Best Male West Africa, wasanii hao ndio wanaongoza kuingia katika vipengele vingi kwa mwaka 2017 akiwemo Diamond Platnumz kutokea Tanzania ambaye pia anawania tuzo ya Best Male East Africa.

Wakifatiwa na wasanii wengine wa kike kutokea nchini Nigeria wanaowania tuzo kama Best Female West Africa akiwemo Yemi Alade, Tiwa Savage , Simi kutokea Nigeria, Effya na Becca kutokea Ghana, wasanii wengine kutokea Tanzania pamoja na Vanessa Mdee na Dyna Nyange.

Mtazame MUHUDUMU WA BAR aliyeimba mbele ya Waziri, hajaamini kilichotokea…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement