Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Goli la African Lyon lililovunja rekodi ya Simba Nov 6 2016, Full Time 1-0

on

November 6 2016 African Lyon iliandika historia kwa kuwa klabu ya kwanza  kuifunga Simba msimu huu ambapo ilikuwa haijafungwa hata mechi moja zaidi ya kutoka sare mechi mbili, African Lyon wameibuka na ushindi wa goli 1-0, goli likifungwa na Abdullah Msuhi dakika za nyongeza.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement