Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Baada ya Lowassa kusema alichoongea IKULU, Rungwe ameongea

on

Stori zinazohusiana na Waziri Mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Edward Lowassa kumtembelea Rais Magufuli Ikulu zinaendelea kushika headlines hii ni baada ya Lowassa kutamka yale ambayo aliongea na Rais Ikulu.

Mwenyekiti wa Chama cha Umma (CHAUMMA) na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 Hashim Rungwe ameongea na AyoTV na millardayo.com kutoa mawazo yake kuhusiana na mjadala huo ambao unachukua sura mpya kila kukicha.

‘WALIOSAMEHEWA NA RAIS WANAZIFUKUA SILAHA ZAO WANARUDIA UHALIFU’ KAMANDA MAMBOSASA

Soma na hizi

Tupia Comments