Biko


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Zari baada ya kuwasili Airport Dar es Salaam

on

Leo October 13, 2017 Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi wa muimbaji Diamond Platnumz amewasili Dar es Salaam akitokea Afrika Kusini kwa jailli ya uzinduzi wa duka jipya la Danube  pale GSM Mlimani City siku ya kesho October 14, Zari baada ya kuwasili Airport Dar es Salaam aliongea na waandishi wa habari.

KAMA ILIKUPITA HII YA USHAURI WA BABA DIAMOND ATOA KWA ZARI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement