Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Tathmini ya kocha Mwambusi kwa Simon Msuva baada ya ushindi vs Jamhuri

on

January 2 2017 moja kati ya wachezaji wa Yanga waliyofanya vizuri katika mchezo wao wa kwanza wa Kundi B Kombe la Mapinduzi 2017 dhidi ya Jamhuri ya Pemba ni Simon Msuva, nyota huyo alikuwa ni miongoni mwa walioyohusika kwa asilimia kubwa katika upatikanaji wa magoli 6-0.

Baada ya mechi kocha msaidizi wa Yanga Juma Mwambusi aliongea na vyombo vya habari na kutoa tathmini ya mchezo huo ikiwemo kiwango alichokionesha Simon Msuva na lakini kuna vitu ambavyo yeye na kocha mkuu Lwandamina wamemshauri mchezaji huyo ili avifanyie kazi.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement