Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Mix

Kiongozi CHADEMA aliyehama na kujiunga na CCM Dec 26

on

Baada ya headlines za baadhi ya wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani kuchukua headlines hivi karibuni kwa maamuzi yao waliyoyafanya ya kutoka vyama vyao vya upinzani na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Leo Jumanne ya December 26 2017 taarifa imeripotiwa kutokea Arusha ni kuwa kiongozi mmoja wa CHADEMA amehama chama hicho na kujiunga na CCM, Zacharia Lukumay ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Siha amehama CHADEMA na kujiunga na CCM.

Zacharia Lukumay ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Siha alikuwa pia diwani wa kata ya Gararagua lakini amejiuzulu nyadhifa zake hizo na kuhamia CCM na kutangaza kuwa ameamua kumuunga mkono Rais Magufuli katika ilani yao ya CCM ya 2015.

“Tuwaulize Tsh milioni 360 walimpa nani?”-Molel

Soma na hizi

Tupia Comments