Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 8: Hans van Pluijm alivyowasili mazoezini na kuagana na wachezaji wa Yanga

on

Siku moja baada ya aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans Hans van Pluijm atangaze kujiuzulu nafasi yake hiyo, baada ya kusikia kuwa kuna kocha kutoka Zesco United ya Zambia George Lwandamina amekuja tayari Tanzania kuchukua nafasi yake, leo October 25 amewaaga rasmi wachezaji wake na benchi la ufundi.

img-20161025-wa0020

Hans amewaaga wachezaji wake pamoja na benchi la ufundi katika mazoezi ya leo asubuhi yaliofanyika katika uwanja wa Polisi Kilwa Road, kocha Hans anaondoka Yanga akiwa kaipa mafanikio makubwa ikiwemo kukushiriki hatua ya Makundi ya Kombe la shirikisho barani Afrika CAF, hatua ambayo Yanga wana miaka mingi toka waifikie.

img-20161025-wa0027

img-20161025-wa0024

img-20161025-wa0023

img-20161025-wa0022

img-20161025-wa0021

img-20161025-wa0018

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement