DSTV

Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Kutoka TFF kuhusu Samatta na ambao hawajawasili kambini

on

Weekend iliyomalizika nahodha wa Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk Mbwana Samatta alishindwa kuitumikia timu yake ya Genk kwa dakika 90 dhidi ya Lokeren na alitolewa uwanjani dakika ya 40 na nafasi yake kuchukuliwa na Nikolaos Karelis katika mchezo uliyomalizika kwa sare tasa (0-0).

Bado kuna presha kuwa Samatta anaweza kukosa game ya taifa stars dhidi ya Benin itakayochezwa Benin, millardayo.com imempata afisa habari wa TFF Alfred Lucas na kueleza list ya wachezaji waliofika kambini kuwa samatta bado hajafika lakini hana taarifa kuhusu stori za kuumia bado hajapata taarifa hizo.
“Kuhusu Taifa Stars wachezaji ambao mpaka sasa hawajafika kambini ni Abdi Banda kutoka Baroka FC ya Afrika Kusini, Mbwana Samatta anayetokea Genk ya Ubelgiji pamoja na Farid Musa anayetokea Tenerife ya Hispania, Farid pekee ndio tuliambiwa alipata majeruhi lakini anaweza kucheza”>>> Alfred Lucas


Azam FC imetangaza kumuacha staa wake wa kimataifa

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement