Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Manara amewaomba mashabiki wa Simba wakaishangilie Yanga

on

Vilabu vya Tanzania vya Simba na Yanga weekend hii watacheza mechi za kimataifa na kuiwakilisha Tanzania katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Simba atacheza jumapili mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika na Yanga watacheza Jumamosi mchezo wa club Bingwa Afrika dhidi ya St Louis ya Ushelisheli.

Kuelekea michezo hiyo afisa habari wa Simba Haji Manara amewaomba mashabiki wa Simba na Yanga kuacha utamaduni wa kumeana kwa timu hizo wanapocheza michuano ya kimataifa.

VIDEO:Simba imetangaza kumpeleka Haruna Niyonzima India

Soma na hizi

Tupia Comments