Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

“Mara ya mwisho Simba kushiriki michuano hii Zitto Kabwe alikuwa CHADEMA”-Dr Mwigulu

on

Weekend hii Simba na Yanga zitacheza michuano ya kimataifa, kwa upande wa Yanga wao wanacheza dhidi ya St Louis United uwanja wa Taifa Dar es Salaam wakati Simba watacheza kesho Jumapili ya February 11 2018 dhidi ya Gendamarie.

Kuelekea game hizo waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dr Lameck Nchemba ametangaza kuzitakia kheri Simba na Yanga huku akileta utani kuwa mara ya mwisho Simba kushiri michuano hiyo ya CAF Zitto Kabwe alikuwa CHADEMA.

“Mh naibu Spika na mimi nizitakie kila la kheri timu zinazocheza weekend hii hasa Simba maana mara ya mwisho Simba kushiriki michuano hii Zitto Kabwe alikuwa yupo CHADEMA”>>>Dr Mwigulu


VIDEO: Simba imetangaza kumpeleka Haruna Niyonzima India

Soma na hizi

Tupia Comments