Biko


Tangaza Hapa Ad

Mix

Walichofanyiwa H&M Afrika Kusini baada ya ubaguzi wa rangi

on

Siku chache zilizopita katika mitandao ya kijamii story ambayo ilichukua headlines ni kuhusu mtoto wa kiume mwenye asili ya Africa (model) kutokea Kenya kufanyiwa kitendo cha ubaguzi wa rangi na kampuni ya nguo ya H&M ambapo mtoto huyo alivalishwa nguo yenye maneno “mimi ni nyani mtulivu msituni”

Watu kutokea Afrika Kusini ni miongoni mwa watu waliochukizwa na kitendo hicho na kuamua kuvamia na kuharibu maduka na mali zote zilizomo kwenye maduka ya H&M Afrika Kusini huku wakiwa na mabango yenye ujumbe unaoonyesha kupinga ubaguzi wa rangi.

Diamond alivyowashinda Davido, Wizkid na 2face tuzo za Sound City MVP Nigeria

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement