Biko Ad
CRDB Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Shinda na SportPesa: Watu wa Mwanza wanabahati

on

Timu ya SportPesa kwa mara nyingine ilifika Nyakato mkoani Mwanza kukabidhi TVS KING DELUXE kwa mshindi wa droo ya 22 ya SHINDA NA SPORTPESA iliyofanyika Novemba 16 2017 ambapo Makoye Cosmas ndio aliibuka mshindi.

Makoye mwenye umri wa miaka 30 anayejishughulisha na kazi ya ufundi (fundi muashi) alijishindia zawadi hiyo baada ya droo ya kutafuta mshindi kuchezeshwa na sasa amekabidhiwa Bajaji mpya nyumbani kwake Mwanza.

Baada ya Makoye Cosmas kukabidhiwa bajaji aliwasihi vijana wenzake waweke ubashiri na SportPesa ili nao waweze kubahatika kama yeye. Akipokea fungua za bajaji hiyo kwa furaha, ndugu Makoye Cosmas amesema kuwa ataitumia bajaji hiyo kwa shughuli za biashara ili kumuongezea kipato.

VIDEO: Atayofanya Mo Dewji kwa Simba ndani ya mwaka mmoja

Soma na hizi

Tupia Comments