Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Hii ndio rekodi ya dunia imewekwa England leo

on

Baada ya kuwepo na mvutano kwa muda mrefu baina ya pande mbili ambazo zilikuwa zinavutana na kulaumiana, hatimae leo vilabu vya Liverpool na Southampton vimefikia muafaka wa kuuzia beki wao wa kati wa Virgil van Dijk.

Southampton leo imefikia makubaliano na Liverpool ya kumuu za Virgil van Dijk kwenda Liverpool kwa rekodi ya uhamisho ya dunia ya pound milioni 75, hiyo ni baada ya Liverpool kumuhitaji nyota huyo kwa muda mrefu huku Southampton wakiweka ugumu.

Dau hilo la usajili linaweka rekodi ya dunia kwa Virgil van Dijk kuwa ndio mchezaji ghali zaidi wa nafasi ya beki duniani kuwahi kusajiliwa kwa dau hilo.

“Nimeumia kuliko siku zote toka nimeanza kazi Simba”-Haji Manara

Soma na hizi

Tupia Comments