Tangaza Hapa Ad

SportPesa hadi nyumbani kwa mfanyakazi wa Tanesco kukabidhi Bajaji


Kenenth Chisara mfanyakazi wa shirika la Umeme Tanzania Tanesco, amekabidhiwa TVS KING DELUXE aliyoshinda kupitia droo ya 23 ya promosheni ya SHINDA NA SPORTPESA iliyochezeshwa November 23 2017.

Keneth Chisara mwenye umri wa miaka 29 alikuwa sambamba na familia yake katika zoezi la kupokea zawadi hiyo maeneo ya Kunduchi jijini Dar es Salaam.

SPORTPESA inaendelea kutoa TVS KING DELUXE na zimebaki 60 zinazoshindaniwa kila siku kwa siku 60. Kujiunga tuma neno GAME kwenda 15888 kisha fuata maelekezo ili nawewe upate nafasi ya kuingia kwenye droo ya promosheni ya SHINDA NA SPORTPESA.

VIDEO: Hatimae SportPesa wamemkabidhi uwanja wa Taifa waziri Mwakyembe

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement